Nyaraka

Miongozo kwa taasisi za mikopo

Majibu ya wazi kwa wanaoendesha taasisi ndogo ya fedha: jinsi ya kuanza kwenye Rejesho, na jinsi ya kukusanya marejesho moja kwa moja kutoka akaunti za benki za wakopaji.

Bado una swali?

Ongea na timu ya Rejesho. Tunajibu kwa WhatsApp, simu na barua pepe, kwa Kiswahili au Kiingereza.